tag:blogger.com,1999:blog-2413938396840929733.post2342861722748326478..comments2024-03-23T21:46:53.613-07:00Comments on Mbele: Peace Corps and Africa ConferenceMbelehttp://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-2413938396840929733.post-33447216108790848722011-05-28T22:50:42.711-07:002011-05-28T22:50:42.711-07:00Mbona unampongoza Nkrumah? Nimesikia Nyerere alik...Mbona unampongoza Nkrumah? Nimesikia Nyerere alikuwa wa kwanza kukaribisha Peace Corpse, na wengine walimfuata. Na mavoluntia wa kwanza kuanza mafunzo walienda Tanganyika. Safari yao ilicheleweshwa tu, kwa hiyo waliondoka pamoja na mavoluntia wa Ghana katika ndege moja. Na Ghana iko kati ya Marekani na Tanzania, kwa hiyo ndege ilipitia kule kabla ya kufika Tz.Anonymousnoreply@blogger.com